Deuteronomy 32:23-25


23 a“Nitalundika majanga juu yao
na kutumia mishale yangu dhidi yao.
24 bNitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya,
yateketezayo na tauni ya kufisha;
nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu,
na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini.
25 cBarabarani upanga utawakosesha watoto;
nyumbani mwao hofu itatawala.
Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia,
pia watoto wachanga na wazee wenye mvi.
Copyright information for SwhNEN